LOVE MESSAGES

  1. Hakika umeuteka moyo wangu kimapenzi kwako nimefika siwezi kubabaika, nionyeshe penzi nami nikunyeshe langu.
  2. Mpenzi amini nakupenda, usisikilize ya wambeya, watakuja tugombanisha bure, wapate furahika.
  3. Nisipokuona kwa siku moja moyo wangu waenda mbio, mpenzi wangu njoo usuuze moyo wangu upate kutulia.
  4. Ni kipi nilichokikosea hata ukasirike, kama nimekuudhi nisamehe mpenzi wangu.
  5. Unajua kuwa nakupenda sana ndiyo maana unanifanyia visa, ukiendelea kunifanyia ivyo utaniumiza mpenzi wangu.
  6. Tuliaa mpenzi wangu, mie ndio wa daima, wengineo wasione ndani nilifaidi penzi lako.
  7. Toka nilipokutia machoni wazimu umenipanda mzuka umesimama kila nikufikiriapo, nitulize mpenzi kwa kunionyesha penzi lako.
  8. Usiku mzima nakesha nikikufikiria wewe mpenzi, hivi nikupe kitu gani ujue kuwa nimekuzimikia honey.
  9. Natamani kunyonya ulimi wako, kwani wanipa raha mpenzi wangu, mpenzi fanya hima uje kwangu utulize munkari wangu.
  10. Elewa kua wawili wakipendana adui hana nafasi, hivyo tuzidishe mapenzi adui aone haya tufurahie penzi letu.

No comments:

Post a Comment