Monday, May 6, 2013

FROM OUR FACEBOOK PAGE

  • kihonda,morogoro
  • Ndugu Endr charss wa kihonda mjini morogoro. Anapenda kuwahabarisha fans wote wa siri ya penzi kuwa tar 11-05-2013 kutakuwa na sherehe fupi ya kumbukumbu ya kuzaliwa mpenzi wake Latifa kaika ukumbi wa Hunters maeneo na kihonda karibu na camel bar. kuanzia saa 12 jioni. Wote mnakaribishwa.

No comments:

Post a Comment