Tuesday, February 19, 2013

ZIJUE SABABU ZITAKAZOFANYA WAPENDANAO KUTOACHANA

Hakuna kitu ambacho, mtu aliyekolea katika mapenzi, anachokipenda kama kuendelea kuwa kipaenzi na Mpenzi wake. Kwa kweli mambo hayo yatamfanya yeyote aliye katika ulimwengu ia kimapenzi ajihisi raha.
Kunavitu vingine kadhaa ambavyo vinaweza vikamkoleza umpendae au chaguo lako katika Mapenzi akiendelea kuwa na wewe miaka nenda rudi, hata watu wakidhani ni penzi la dawa. Hakuna kitu kama hicho, ila wewe mwenyewe ndio dawa ya kumfanya umpendae azidi kuchanganyikiwa na penzi lako.
Vitu vya kumkoleza umpendae azidi kuchanganyikiwa na penzi lako.
Hapa kuna pande zote mbili kwa Mwanamke na Mwanaume wote nitawapa somo. Kwa sababu wanaume wanahitaji mwanamke chaguo lake aendelee kuwa naye.
Vile vile kwa upande wa wanawake wanahitaji mwanaume aliye moyoni mwake basi asibanduke na kukimbilia kwa wengine.
Amini kwamba msingi mkubwa unaoweza kusimamisha penzi na hata likasimama imara ni tendo la ndoa, au hali hii ya kuingiliana kimwili kama unawezakumudu kushiriki vizuri katika tendo hili na kuhakikisha kuwa mpenzi wako ataridhika na wewe.
Kama wewe ni mwanamke basi unapotaka kumpa 'TUNDA' mpenzi wako ni muhimu ujiandae vizuri. Wako nadhani watakaojiuliza je! kujiandaa huko ni kivipi!?? Hili hasa ndilo nitakalo kuwaeleza hapa, kwa sababu napenda muwakamate wanaume zenu wasiweze kufurukuta.
Mwanamke anahitaji hatua 3 muhimu za kufanya kabla hajashiriki kikamilifu na kuweza kumpatia mwanaume wake au kumkoleza kimapenzi. Kwa sababu eleweni kwamba mapenzi yanataka utundu hususani kitanda.
Nitawaeleza hizi hatua 3, moja baada ya nyingine za kuzifanya ili mumeo au mpenzi wako ajisikie raha zaidi katika tendi la ndoa, kumuwezesha mpenzi wako kujisikia ndiko, kutamfanya aweze kulipalilia vizuri penzi lako, na mwanaume utakaye kuwa nae, akugande.
  1. HATUA YA KWANZA; Siku ambayo muda mfupi kama ukijua kwamba mpenzi wako anahitaji tunda basi fanya mambo yafuatayo. Chukua ndoo ya maji nivizuri yawe ya moto, maji hayo nenda nayo bafuni, ukiwa na taulo pamoja na pamba, kwanza safisha mwili mzima kwa maji na sabuni ya manukato. Hakikisha kwamba mwili mzima umesafishika vizuri, baada ya kumaliza hilo chukua kopo lililojaa maji na safisha sehemu zako za siri hadi ndani kabisa kwa kutumia pamba kavu. Kunabaadhi hutumia kitambaa kunaweza kuziumiza sehemu nyeti kwakuwa sehemu hizo ni laini. Kakikisha kuwa sehemu nyeti hadi ndani kabisa umezikausha kwa pamba na kuwa kavu kabisa. Hapo utakuwa umemaliza hatua ya kwanza kabisa.
  2. HATUA YA PILI; Unapotoka kuoga ni vizuri kufanya mwili wako unukie, mwili huweza kunukia kwa mambo mawili. Kwanza kwa kutumia pefumes nzuri au kijifukiza hudi. Sasa hapo kuna mpangilio maalumu wa kupaka mafuta au kujifukiza udi, si kwamba udi au mafuta utakayo pakaza mwilini ili unukie bali udi au mafuta 'pefumes' inatakiwa vilevile uifukize seheme nyeti kwa kutumia pamba kavu inahitajika kupakiza kwenye sehemu za maingiliano. Ukichanganya na unga wa shabu ambao huuzwa kwenye maduka ya dawa. Itaendelea.............

No comments:

Post a Comment