Friday, February 22, 2013

KWANINI BAADHI YA WAPENZI WANASHINDWA KUWA WAAMINIFU??

Katika uhusiano na mapenzi, uaminifu ni jambo lenye mvuto mkubwa, ni mjadala usiokwisha tangu kuwepo kwa mapenzi. Ukweli ni kwamba uaminifu ndio kipimo cha kwanza cha kugundua kama penzi lako ni la kweli au moyo wako unakudanganya.
Pamoja na yote hayo, kwanini uaminifu unawashinda wengi?? Wengine hawajiamini huku wengine wakiwa hawawaamini kabisawao. Hii inakuwajee!?? 

No comments:

Post a Comment